Ingia / Jisajili

Aleluya Bwana amefufuka

Mtunzi: Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 81

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Mkesha wa Pasaka
- Mwanzo Dominika ya Pasaka
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka B

Download Nota
Maneno ya wimbo

(Aleluya Aleluya Bwana amefufuka leo) Aleluya aleluya aleluya Bwana amefufuka kweli x2. Kaburi liwazi Bwana hayumo, mauti ameyashinda amefufuka. (Watu wote furahi, ngoma zeze zipigwe, Nyimbo nzuri tuimbe, na kinanda tucheze, tuimbe zaburi tumsifu Mwokozi x2).(Aleluya Aleluya Bwana amefufuka leo) Aleluya aleluya aleluya Bwana amefufuka kweli x2. Kaburi liwazi Bwana hayumo, mauti ameyashinda amefufuka. (Watu wote furahi, ngoma zeze zipigwe, Nyimbo nzuri tuimbe, na kinanda tucheze, tuimbe zaburi tumsifu Mwokozi x2

  • 1.Hayumo, hayumo hayumo kaburi liwazi Bwana amefufuka, tuimbe Aleluya.
  • 2.Hakika Mwokozi kashinda kashinda mauti tena katukomboa utumwa wa Shetani.
  • 3.Kuzimu kuzimu ni kimya shetani ni kimya Yesu ni mshindi mbinguni ni furaha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa