Ingia / Jisajili

Amri Mpya Nawapa

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Juma Kuu

Umepakiwa na: Richard Masanja

Umepakuliwa mara 3,552 | Umetazamwa mara 8,087

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

STAN MUJWAHUKI

Amri mpya nawapa mpendane kama vile nilivyowapenda ninyi kama vile nilivyowapenda ninyi asema Bwana x 2

1.     Mimi niendako ninyi hamuwezi kuja mimi niendako ninyi hamuwezi kuja kadhalika sasa na waambia ninyi asema Bwana

2.     Hivyo watu wote watatambua yakuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi asema Bwana


Maoni - Toa Maoni

Pascal daud chowe Jun 27, 2018
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarab Naomba mnitumie jina la wimbo huo kwa njia ya sms maana nimeupenda.

Victor quantity Nov 02, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu Ehee kwaya ninzuri

Toa Maoni yako hapa