Ingia / Jisajili

Bwana Ameufunua Wokovu

Maneno ya wimbo

1. Mwimbieni Bwana, Mwimbieni wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu x 2.

Kiitikio: Bwana Ameufunua Wokovu wake Machoni pa mataifa, Ameidhihirisha haki yake Bwana ameidhihirisha haki yake x 2.

2. Mkono wakuume, Mkono wake mwenyewe, Mkono wake Mtakatifu umetenda wokovu x 2.

3. Miisho yote ya dunia, Imeuona wokovu imeuona wokovu wa Mungu wetu x 2.

4. Mshangilieni Bwana ncho yote shangilieni, Inueni sauti imbeni kwa furaha x 2.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa