Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,182 | Umetazamwa mara 2,825
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka B
Kiitikio:
Furahi, furahi, furahi Yerusalemu (x 2). Mshangilieni ninyi nyote, mshangilieni ninyi nyote, mshangilieni ninyi nyote mmependao, mshangilieni ninyi nyote mmependao.
Mashairi:
1. Furahini ninyi nyote mliao kwaajili yake, furahini ninyi nyote mliao kwaajili yake, kunyonya na kushibishwa maziwa ya faraja zake.
2. Kwamaana mtabebwa, na juu ya magoti yake mtabembelezwa.