Ingia / Jisajili

Haleluya Msifuni Bwana

Mtunzi: Anno Nyoni

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Wasonga

Umepakuliwa mara 294 | Umetazamwa mara 1,140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya, Aleluya Msifuni Bwana, Msifuni Bwana, Msifuni kutoka Mbinguni. Msifuni katika mahali, katika mahali pa juu, Msifuni, Msifuni; Msifuni, Msifuni, Msifuni, Msifuni; jua, mwezi nyota zote zenye mwanga Msifuni; Nanyi maji mlioko juu ya Mbingu vilisifu jina la Bwana; Kwa maana aliamuru viliumbwa, ALELUYA.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa