Ingia / Jisajili

HERI KILA MTU AMCHAYE BWANA

Mtunzi: Castus Vyampaka

Makundi Nyimbo: Miito | Ndoa | Zaburi

Umepakiwa na: ESSAU NDABABONYE

Umepakuliwa mara 105 | Umetazamwa mara 304

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 27 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka C
- Katikati Dominika ya 6 ya Pasaka Mwaka C
- Katikati Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Katikati Familia Takatifu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hero kila mtu amchaye Bwana,heri kila mtu amchaye Bwana aendaye katika njia katika njia take.

1.Taabu ya mikono yako hakika utaila,utakuwa na heri na kwako Bwana.

2.Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao nyumbani mwa nyumba mwa nyumba yako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa