Ingia / Jisajili

Kwa Ajili Yetu Mtoto Amezaliwa

Mtunzi: J. Nkonje

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Edga Madeje

Umepakuliwa mara 412 | Umetazamwa mara 1,214

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KWA AJILI YETU MTOTO AMEZALIWA – J. NKONJE

Kwa ajili yetu mtoto amezaliwa tufurahi, tumwimbie aleluya×2

(Tumepewa) mtoto, mtoto mwanamume mwenye uwezo wa kifalme mabegani mwake×2

1.   a. Naye ataitwa jina lake mshauri wa ajabu twimbe alaleya,

      b. Naye ataitwa jina lake ni Mungu mwenye nguvu twimbe aleluya

2.  a. Naye ataitwa jina lake ni Mwanga wa milele twimbe aleluya,

     b. Naye ataitwa jina lake ni mfalme wa amani twimbe aleluya


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa