Ingia / Jisajili

Mimi Nikutazame Uso Wako

Mtunzi: Robert Kisusi
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert Kisusi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Barack T Mashibe

Umepakuliwa mara 3,737 | Umetazamwa mara 7,329

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Mimi nikutazame uso wako katika haki, niamkapo nishibishwe kwa sura yako

VIIMBILIZI

1.Ee Bwana usikie haki, ukisikilize kilio changu,utege sikio lako kwa maombi yangu

2.Nyayo zangu Ee Bwana zimeshikamana na njia zako, hakika hatua zangu hazitaondoshwa

3.Ee Bwana Mungu wangu wewe ni kimbilio langu, niendapo unionyeshe njia yako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa