Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana

Mtunzi: A.C. Lulamye
> Tazama Nyimbo nyingine za A.C. Lulamye

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 91 | Umetazamwa mara 305

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 5 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka A
- Katikati Dominika ya Matawi
- Katikati Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka B
- Katikati Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Msifuni Bwana huwaponya waliopondeka moyo *2

Msifuni Bwana msifuni Bwana msifuni Bwana huwaponya waliopondeka moyo *2

Masahairi

1. Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu maana kwapendeza kusifu nikuzuri

2. Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu huwakusanya waliotawanyika wa Israeli

3. Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu na akili zake hazina mipaka

4. Bwana wewe hututegemeza wenye upole huwaangusha chini wenye jeuri

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa