Ingia / Jisajili

Msiwiwe na mtu chochote

Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Halisi Ngalama

Umepakuliwa mara 29 | Umetazamwa mara 170

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msiwiwe na mtu chochote isipokuwa kupendana kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza Sheria×2 Maana kule kusema usizini usiue usiibe usitamani na ikiwapo amri nyingine yoyote inajumlishwa katika neno hili ya kwamba mpende jirani yako Kama nafsi yako×2

1; Pendo halimfanyii jirani neno baya basi Pendo ndilo utimilifu wa sheria.

2; Tuwe mfano Bora wa kuigwa kwa wenzetu hivyo tuishike sheria kuu ya mapendo.Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa