Ingia / Jisajili

Mimi ndimi Chakula

Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gereon Mmole

Umepakuliwa mara 123 | Umetazamwa mara 455

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 20 Mwaka C
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Mimi ndimi chakula cha uzima,x2  Yeye aniaminiye, yuna uzima, Yeye aniaminiye yuna uzima wa milele.

 1.Hiki ni chakula, kishukacho kutoka mbinguni, kwamba mtu akila asife, mtu akila asife.

2.Mimi ndimi chakula, chenye uzima kilichoshuka kutoka mbinguni, mtu akila chakula hiki, ataishi milele.

3.Na chakula nitakachotoa mimi ni mwili wangu mwili wangu, Kwa ajili ya uzima uzima wa ulimwengu. 


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa