Ingia / Jisajili

MUNGU YU KATIKA KAO LAKE

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 104 | Umetazamwa mara 286

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 17 Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo

MUNGU YU KATIKA KAO LAKE

mungu yu katika kao lake kao lake takatifu.

Mungu huwakalisha wapweke nyumbani yeye huwapa watu nguvu na uwezo.

1.mungu ni mwenye kutisha kutisha Sana kutoka patakatifu patakatifu pake.

2.Bali Watu Wenye haki hufurahi Sana na kuushangilia uso  wa bwana


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa