Ingia / Jisajili

Ninaleta Ul'onijalia

Mtunzi: Alfred Ogombo
> Mfahamu Zaidi Alfred Ogombo
> Tazama Nyimbo nyingine za Alfred Ogombo

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alfred Ogombo

Umepakuliwa mara 245 | Umetazamwa mara 719

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ninaleta ul'onijalia, siwezi kukuficha chochote, kwani ninayo yote wayajua, ninayaleta, Bwana pokea, ninayaleta Bwana pokea x2

1.Ni kidogo ninachokitoa, nashukuru umenijalia,

   ndicho hiki hapa mbele yako, ninazileta Bwana pokea

2.Kanisa la Mungu naijenga, kwa njia ya kutoa sadaka,

   kwa hivyo nimeweka hazina, kule mbinguni

3.Ni wajibu nimetunukiwa, na Mungu ili nisaidie,

   majirani wasiojiweza, ninajinyima

4.Baraka za Mungu ninapata, ninapotoa jinsi Abeli,

   alivyomtolea kwa imani, akapokea

5.Imani ninayo sipotezi, n'napotoa kidogo ninacho,

   kama shukrani kwake Mwenyezi, kwa kuniumba


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa