Ingia / Jisajili

Sala Yangu Ipae

Mtunzi: Rukeha, P. B.
> Mfahamu Zaidi Rukeha, P. B.
> Tazama Nyimbo nyingine za Rukeha, P. B.

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pius Rukeha

Umepakuliwa mara 41 | Umetazamwa mara 168

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A
- Katikati Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 23 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 23 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 23 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana sala yangu ipae mbele zako, ipae mbele zako kama uvumba, ee Bwana sala yangu ipae mbele zako, ipae mbele zako kama uvumba.

Na kuinuliwa mikono yangu kama dhabihu, kama dhabihu ya jioni.

Sala zetu ee Bwana zipae zikufikie, zikiwa mikononi mwa Malaika.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa