Ingia / Jisajili

Tazama Nipo Pamoja Nanyi

Mtunzi: Elia Temihanga Makendi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elia Temihanga Makendi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: elia makendi

Umepakuliwa mara 122 | Umetazamwa mara 422

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tazama Mimi nipo nipo pamoja nanyix2 hata ukamilifu wa dahari hata ukamilifu wa dahari aleluya 1.bwana yesu hakutiacha yatima kwani alituahidia zawadi zawadi ya roho Mtakatifu roho wa shauri, roho wa ibada aleluya aleluya aleluy aleluya. 2.Hivyo yatupasa leo kufurahi bwana yesu leo amepaa kwa baba huko anatuandalia makao mbinguni kwenye raha ya milele aleluya aleluya aleluya aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa