Ingia / Jisajili

Alfred Ogombo

Mfahamu Alfred Ogombo, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Military Ordinariate of Kenya Parokia ya Holy Rosary, Embakasi Garrison - Nairobi

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 99 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Military Ordinariate of Kenya

Parokia anayofanya utume: Holy Rosary, Embakasi Garrison - Nairobi

Namba ya simu: +254723732338 or +254777732338

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

email: alfredogombo@gmail.com

facebook: Alfred Ogombo

whatsapp + voicecall: +254723732338.

‘Nitamwimbia Bwana maisha yangu yote, nitaimba sifa kwa Mungu wangu muda wote ninaoishi’  Zab 104: 33

‘Ee Bwana, nitakusifu katikati ya mataifa, nitaimba sifa zako katikati ya mataifa’ Zab 108: 3

‘Tazama jinsi ilivyo vyema kumwimbia Mungu wetu sifa, jinsi inavyopendeza na kustahili kumsifu Yeye’ Zab 147: 1..

 

Kwa kuimba vizuri tumsifu Yesu kristu..