Ingia / Jisajili

Fr. C.p. Charo, Ofm Cap.

Mfahamu Fr. C.p. Charo, Ofm Cap., mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Jimbo la Malindi - Kenya Parokia ya St. Mary's Catholic Church - Msabaha

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 14 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Jimbo la Malindi - Kenya

Parokia anayofanya utume: St. Mary's Catholic Church - Msabaha

Namba ya simu: +254735015616

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Padre Charles Peter Charo Ofm Cap. Ni Padre anayetoka nchi ya Kenya.  Alijiunga na  shirika la ndugu wadogo wakapuchin nchini Kenya mwaka wa 2007 kwa malezi ya maisha ya kitawa na akapata Daraja la upadre mwaka wa 2018. Kwa sasa ako Roma _ Italia kwa masomo ya licenciati in moral theology chuoni alfonsiana University.