Ingia / Jisajili

Himery Msigwa

Mfahamu Himery Msigwa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la songea Parokia ya Familia takatifu - bombamili

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 213 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: songea

Parokia anayofanya utume: Familia takatifu - bombamili

Namba ya simu: 0758149997

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

                Naitwa Himery Andrea Msigwa mzaliwa wa kijiji cha uhekule ndani ya mkoa wa njombe kwa sasa ni mwanafunzi wa udaktari katika chuo kikuu cha dodoma  .........nilianza utume wa uimbaji mwaka 2012 nikiwa kidato cha tano katika shule ya wavulana Njombe sekondari (sauti ya nne) hapo ndipo safari yangu ya mziki ilipo anzia  lakini nilianza kujifunza mziki rasmi mwaka 2014 nikiwa chini ya kwaya Mt.Kamili chuoni dodoma ..........katika kwaya ndipo nilipo anza kujifunza namna ya kutunga nyimbo mbalimbali. namshukuru Mungu kwa kuwa bado nazidi kujifunza kila iitwapo leo.