Ingia / Jisajili

Wolford P. Pisa

Mfahamu Wolford P. Pisa, mtunzi wa nyimbo za Kanisa Katoliki. Kutoka Jimbo la Morogoro Parokia ya Gairo

Maelezo zaidi

Idadi ya nyimbo SMN: 23 > Zitazame

Jimbo analofanya utume: Morogoro

Parokia anayofanya utume: Gairo

Namba ya simu: (+255) 713 497 441/782 497 441

Soma Historia na maelezo yake hapa

Wasiliana na mtunzi kwa email:


Historia / Maelezo

Naitwa Wolford P. Pisa
Naishi Gairo kama Mwalimu wa Sekondari.
Pia ni mwanauchumi Bsc. Agricultural Economics and Agribusiness.
Ni mwanamuziki chipukizi na pia ni mwanakwaya kwa zaidi ya miaka 15.