Ingia / Jisajili

Bikira Maria Uliye Safi

Mtunzi: Francis Massota

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Antony Chacha

Umepakuliwa mara 245 | Umetazamwa mara 844

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bikira Maria uliye (safi) twataka kujitoa kwa moyo wako usiona madoa. 1.Tunakutolea moyo nafsi zetu pamoja na yote tuliyonayo. 2.Twakuomba utukinge na kutulinda tuwe daima watoto wa Mungu. 3.Utuimarishe tuweze kuacha Dhambi na wakosefu waweze kutubu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa