Ingia / Jisajili

Bwana Ametamalaki

Mtunzi: Frt. Canada
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Canada

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 839 | Umetazamwa mara 2,394

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ametamalaki ametamalaki ndiwe uliye juu x2

Ndiwe uliye juu ndiwe uliye juu sana kuliko nchi yote x2

1.       Bwana ametamalaki nchi na ishangilie visiwa vingi na vifurahi

2.       Mbingu zimetangaza haki yake watu wote wameuona wokovu wake


Maoni - Toa Maoni

May 02, 2016
nyimbo ni nzuri sana

Toa Maoni yako hapa