Ingia / Jisajili

Bwana Ana Enzi

Mtunzi: C. Chaungwa
> Tazama Nyimbo nyingine za C. Chaungwa

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 547 | Umetazamwa mara 1,760

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NA: C. CHAUNGWA

Bwana ana enzi Bwana ana enzi atawala pote x 2

1. Nchi navyo vilivyomo vyote ni mali yako Bwana

2. Enyi watu wenye haki furahini katika Bwana

3. Bwana ametamalaki nchi naifanye shangwe

4. Sifa na heshima zote astahili Bwana Mungu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa