Ingia / Jisajili

Bwana Ni Mfalme

Mtunzi: Frt. One
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. One

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 463 | Umetazamwa mara 1,365

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana ni mfalme amejivika taji x2

1.       a) Bwana ametamalaki amejivika adhama

b) Bwana amejivika amejivika adhama na kujikaza nguvu

2.       a) Ulimwengu umethibitika naam usitikisike,

b) Kiti chako kimekuwa thabiti, naam usitikisike, to.... kea za... ma...ni

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

edson sule Nov 23, 2018
nimeipenda nitumie nota zake.

Toa Maoni yako hapa