Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wangu

Mtunzi: Vicent Chuma
> Mfahamu Zaidi Vicent Chuma

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Antony Chacha

Umepakuliwa mara 716 | Umetazamwa mara 1,355

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Ee Bwana(Ee Bwana) Mungu wangu Mungu wangu ×2

Nalikulilia Nalikulilia Nalikulilia ukaniponya ×2

 
1. Ee Bwana nitakutukuza kwa maana umeniinua wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu.
2. Mwimbieni Bwana zaburi enyi watauwa wake nakufanya shukrani  kwa  kumbukumbu la utakatifu.
3. Ee Bwana usikie unirehemu  Ee Bwana uligeuza matanga yangu kuwa machezo
 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa