Ingia / Jisajili

Furahini katika Bwana

Mtunzi: Peter Kisoki
> Mfahamu Zaidi Peter Kisoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Kisoki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito

Umepakiwa na: ivan kahatano

Umepakuliwa mara 58 | Umetazamwa mara 378

Download Nota
Maneno ya wimbo

Hatimaye furahini katika Bwana, kuwaandikieni Mambo haya kwa wafaa ninyi, jihadharini na mbwa na wote watendao mabaya. Si kwamba nimekwisha kufika au nimekwishakamilika Bali nakaza mwendo nifike kwake Kristo.

1. Ndugu sijidhanii nafsi yangu kwamba nimekwisha kushika ila natenda neno moja nikiyasahau yaliyo nyuma nikiyachuchumilia yaliyo mbele

2. Nakaza mwendo niifikirie mede ya thawabu ya mwito mkuu wa Mungu katika Kristo thawabu ya mwito mkuu katika Kristo Yesu.

3.Basi sisi tulio wakamilifu na tuyawaze haya hata mkiwaza mengine katika jambo lolote Mungu atawafunulia Hilo nalo




Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa