Ingia / Jisajili

Kikombe Kile Cha Baraka

Mtunzi: A. Ntiruhungwa
> Tazama Nyimbo nyingine za A. Ntiruhungwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 1,795 | Umetazamwa mara 3,047

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 24 Mwaka C
- Antifona / Komunio Alhamisi Kuu

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kikombe Kile cha baraka, kikombe kile cha baraka tukibarikicho x2, Je!! si ushirika wa damu ya kristu, Je!! si ushirika wa damu ya kristu x2:

Mashairi:

1 (a) Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea

    (b) Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana

2  (a) Ina thamani machoni machoni pa Bwana mauti ya wachaMungu wake

     (b) Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako umevifungua vifungo vyangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa