Ingia / Jisajili

Kila Tunapokula Mkate Huu

Mtunzi: J. Kasiha

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ANNORD MWAPINGA

Umepakuliwa mara 335 | Umetazamwa mara 1,539

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana kila tunapokula mkate huu Bwana wangu na kunywa kikmbe hiki Bwana (wangu) tunatangaza kifo chako mpaka utakapokuja x2

1 a) Mwili wako tunaokula Bwana Yesu ni chakula kweli kweli

   b) Damu yako tunayokunywa Bwana Yesu ni kinywaji kweli Bwana wangu

2. a) Tukiipokea kwa imanitutaokoka karibu, Yesu ndani yangu

     b) Kaa nasi Ee Yesu utupe uzima, utupe na nguvu siku zote

3 a)Asiyekula mwili na kuinywa damu, ha - na uzima ndani yake

 b)Anayekula mwili na kuinywa damu, anao uzima siku zote


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa