Ingia / Jisajili

Tawala Kristu Mfalme

Mtunzi: V. B. Renatus

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 668 | Umetazamwa mara 1,824

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tawala Ee Kristu mfalme (tawala Kwetu) Tawala Ee Kristu mfalme tawala

Tawala tawala tawala tawala tawala Kristu Mfalme milele x2

1.       Tawala pote kwa enzi dumisha upendo wako amani yako itufikie

2.       Upendo wako ukae ndani ya mioyo yetu nuru yako ituangazie

3.       Wewe ni faraja yetu wewe ni uzima wetu utujalie neema zako

4.       Unatufunza njiazo unatuongoza vema kaa nasi milele milele


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa