Ingia / Jisajili

Tawala Mwana Wa Maria

Mtunzi: Unknown
> Tazama Nyimbo nyingine za Unknown

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Gervas Kombo

Umepakuliwa mara 864 | Umetazamwa mara 2,371

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tawala tawala mwana wa Maria tawala tawala tawala Mwana wa Maria Mwana Maria tawala

Atawala watoto tawala vijana tawala wazee tawala tawala tawala Mwana wa Maria tawala x2

1.       Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala familia zetu tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a

2.       Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala tawala jumuia zetu wala na vitu vyote vilivyomo tawala a

3.       Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala parokia zetu tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a

4.       Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala na majimbo yetu tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a

5.       Mwenye ufalme wa kuzaliwa nao tawala tawala na Bara la Afrika tawala na vitu vyote vilivyomo tawala a


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa