Ingia / Jisajili

Tu Watu Wake Na Kondoo

Mtunzi: Mashamba Maximillian K. Mbj
> Mfahamu Zaidi Mashamba Maximillian K. Mbj
> Tazama Nyimbo nyingine za Mashamba Maximillian K. Mbj

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: maxmillian kapesa

Umepakuliwa mara 816 | Umetazamwa mara 1,689

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tu watu wake na kondoo wa malisho yake Aleluya

1. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;

     mtumikieni Bwana kwa furaha

      njooni mbele zake kwa kuimba.(K)

2 . Jueni kwamba Bwana  ndiye Mungu ;

      ndiye aliye tuumba sisi tu watu wake;

     Tu watu wake na kondoo wa malisho yake. (K)

3. Kwaku wa Bwana ndiye Mwema ;

     Rehema zake ni za milele;

     Na uaminifu wake vizazi na vizazi.(K)


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa