Ingia / Jisajili

Tufurahi Sote Katika Bwana

Mtunzi: Samweli Jeremia Mkea
> Mfahamu Zaidi Samweli Jeremia Mkea
> Tazama Nyimbo nyingine za Samweli Jeremia Mkea

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 676 | Umetazamwa mara 2,237

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Watakatifu Wote

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Tufurahi sote katika Bwana tunapoadhimusha, sikukuu kwa heshima ya Watakatifu wote. X 2.

              1. Malaika nao washangilia, sikukuu hii, nakumhimidi Mwana wa Mungu.

               2. Furahini tena shangilieni, kwa kuwa ninyi, thawabu yenu ni kubwa Mbinguni

               3. Malaika nao washangilia, kwa shangwe kuu, wanamtukuza Mungu Aleluya.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa