Ingia / Jisajili

Yesu Akawaambia

Mtunzi: Joseph M. Kessy
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph M. Kessy

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 1,329 | Umetazamwa mara 3,095

Download Nota
Maneno ya wimbo

Yesu akawaambia amini nawaambieni msipokula mwili wake mwana wa Adamu na kuinywa damu yake hamna uzima ndani yenu x2

1.       Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu anao uzima wa milele

2.       Chakula nikitoacho ndiyo mwili wangu kuleni mpate kuokoka

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa