Ingia / Jisajili

Chini Ya Jua

Mtunzi: Carol Stephen
> Mfahamu Zaidi Carol Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Carol Stephen

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 53 | Umetazamwa mara 239

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

       Bwana Mimi niende wapi niende wapi Mimi chini ya jua hapa mateso mengi;×2 Nakuomba Bwana wangu unisaidie, Bila were Mimi siwezi kitu.×2

         MASHAIRI:

  1. Vishawishi, vingi vya nizunguka, ninakuomba Bwana unisimamie.
  2. Magonjwa, yanani nyemelea, nina kuomba Bwana unikinge nayo.
  3. Vitavingi, vinavyo nizunguka, Nina kuomba Bwana niepushe navyo.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa