Ingia / Jisajili

Tazama Mimi

Mtunzi: Carol Stephen
> Mfahamu Zaidi Carol Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Carol Stephen

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ERNEST MAGUNUS

Umepakuliwa mara 615 | Umetazamwa mara 1,965

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

       Tazama Mimi, Nipo pamoja nanyi sikuzote, Hata ukamilifu wadahari.

 

        MASHAIRI:

  1. Kwakuwa Bwana ndiye mkuu sana, Yeye ni mfalme wa dunia yote.
  2. Mimi nimepewa mamlaka yote, Mbinguni hata duniani kote.
  3. Nasema ninyi Msifadhaike, naenda kwa Baba Nita rudi tena.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa