Ingia / Jisajili

Hata Imekuwa

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 457 | Umetazamwa mara 1,711

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristu amekuwa kiumbe kipya, ya kale yamepita tazama yamekuwa mapya x 2

  1. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo; naye alitupa huduma ya upatanisho.
     
  2. Yaani Mungu alikuwa ndani ya Kristu akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake asiwahesabie makosa yao naye ametia ndani yetu neno la upatanisho.
     
  3. Basi tu wajumbe kwa injili ya Kristo kana kwamba Mungu anaishi kwa vinywa vyetu twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe mpatanishwe na Mungu.
     
  4. Yeye asiyejua dhambi alimfanya kuwa dhambi, kwa ajili yetu ili sisi tupate kuwa haki; tupate kuwa haki ya Mungu katika yeye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa