Ingia / Jisajili

Tujenge Jumuiya Ndogo Ndogo

Mtunzi: Charles Saasita
> Mfahamu Zaidi Charles Saasita
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Saasita

Makundi Nyimbo: Anthem

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 519 | Umetazamwa mara 671

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wakristo tunaitwa tujenge jumuiya ndogo ndogo za kikristo tunaalikwa sote tujumuike kwa pamoja tujenge kanisa ili (kanisa lipate kujitegemeza kujitegemeza kiuchumi na katika utumishi) X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa