Ingia / Jisajili

Heri Taifa

Mtunzi: B. Mingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za B. Mingwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 861 | Umetazamwa mara 1,862

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 19 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Heri Taifa ambalo Bwana ni Mugu wao Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao x 2, Watu alio wachagua ku wa urithi wake, Watu aliowachagua kuwa urithi wake x 2.

Mashairi:

1. Kwa kuwa neno la Bwana ni adili, kazi yake huitenda kwa uaminifu, Bwana huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa fadhili za Bwana.

2. Kwa neno la Bwana Mbingu zilifanyika, Na Jeshi lake kwa pumzi ya kinywa chake, Maana yeye alisema ikawa na yeye ndiye aliyeamuru ikasimama.

3. Tazama jicho la Bwana likwa wamchao, Wale wazingojao fadhili zake, Huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa