Mtunzi: B. Mingwa
> Tazama Nyimbo nyingine za B. Mingwa
Makundi Nyimbo: Watakatifu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 275 | Umetazamwa mara 2,032
Download Nota Download MidiMaria Beata Tereza somo wa parokia yetu tuombee kwa Mungu Baba atujalie uvumilivu, ili tumtumikie Mungu pasipo kukata tamaa tuige mfano wako wewe uliye somo wetu x 2:
Mashairi:
1. Tufundishe kujinyima kwa ajili ya kueneza Injili yake Bwana Yesu kwa watu duniani.
2. Tutambue kuwa vikwazo ni sehemu ya maisha hivyo tusikate tamaa kwani Mungu yu nasi.
3. Utujalie amani upendo na uvumilivu tuweze kuifanya kazi ya Bwana wetu Yesu.