Ingia / Jisajili

Inuka Nenda

Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 104 | Umetazamwa mara 346

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tembea pole pole Upo na Bwana, Tembea pole pole umetakaswa.x2 inuka nenda urudi nyumbani , imani yako imekuokoa.

Mashairi

1. Tazama umeponywa magonjwa yako, chukua godoro lako nenda.

2. Tazama umeponywa madhambi yako, chukua godoro lako nenda.

3. Tazama umeponywa taabu zako, chukua godoro lako nenda.

4. Tazama umeponywa tabia zako, chukua godoro lako nenda.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa