Ingia / Jisajili

BASI SIMAMENI IMARA

Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Ndoa | Shukrani | Ubatizo

Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru

Umepakuliwa mara 1,000 | Umetazamwa mara 2,489

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Basi simameni imara wapendwa neno la Mungu lina sema , ukweli uwe kama upanga mkononi mwako, uadilifu uwe kama kinga kifuani mwako, hamu ya kutangaza neno kama mkanda kiunoni mwako zaidi ya hayo yote , imani iwe kama ngao kifuani mwako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa