Ingia / Jisajili

Ishara Kubwa

Mtunzi: Deogratias Mhumbira
> Mfahamu Zaidi Deogratias Mhumbira
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Mhumbira

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 2,217 | Umetazamwa mara 5,399

Download Nota
Maneno ya wimbo

DEOGRATIAS MHUMBIRA

Ishara kubwa imeonekana mbinguni x 2

Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake x 2

1. Tufurahi sote tunapo adhimisha siku hii kwa heshima ya Bikira Maria

2. Malaika nao wanaishangilia siku hii wanaimba na kumsifu Mungu

3. Bikira Maria leo amepalizwa mbinguni mataifa yote tumshangilie


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa