Ingia / Jisajili

Kristu Jana Leo Hata Milele

Mtunzi: Fabianus L.m. Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabianus L.m. Kagoma

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 604 | Umetazamwa mara 1,807

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mpeni sifa mpeni sifa Mungu mpeni sifa mpeni sifa Mungu Mpeni sifa mpeni sifa Mungu Mpeni sifa mpeni sifa Mungu x2

1.       Mpigieni Mungu vigelegele x2 mwimbieni Mungu kwa sauti ya shangwe Mshukuruni Mungu kwa mapendo yake

2.       Nitamhimidi Bwana kila wakati x2 katika Bwana nafsi yangu itajisifu, sifa zake zi kinywani mwangu daima

3.       Nitalitafakari jina lako Bwana x2 wanadamu wote wakutukuze milele pia nitatangaza maajabu yako


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa