Ingia / Jisajili

Ukristu Ni Zawadi Ya Mungu Kwetu

Mtunzi: Fabianus L.m. Kagoma
> Tazama Nyimbo nyingine za Fabianus L.m. Kagoma

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,757 | Umetazamwa mara 4,430

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ukristu ukristu ukristu ukristu ni zawadi ya Mungu kwetu x 2
Tunazaliwa upya kwa njia ya Ubatizo na tunafanywa kuwa watoto wa Mungu na Kanisa x 2

  1. Hivyo inatupasa tuishi kwa mapendo na amani, tushirikiane kulijenga Kanisa letu.
     
  2. Sote, na tuitunze miito yote ndani ya Kanisa, tupate mapdre na watawa na wana ndoa.
     
  3. Hima tulijenge kanisa letu kwa michango yetu, imani ikue, siku zote hata milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa