Ingia / Jisajili

Maneno Ya Kinywa Changu

Mtunzi: Raphael Jesse Mhagama
> Mfahamu Zaidi Raphael Jesse Mhagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Raphael Jesse Mhagama

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Raphael Jesse

Umepakuliwa mara 59 | Umetazamwa mara 530

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Zab 19:14) Maneno ya kinywa changu, na mawazo ya moyo wangu

yapate kibali mbele zako, Ee Bwana,

Mwamba wangu na mwokozi wangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa