Mtunzi: Raphael Jesse Mhagama
> Mfahamu Zaidi Raphael Jesse Mhagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Raphael Jesse Mhagama
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Raphael Jesse
Umepakuliwa mara 246 | Umetazamwa mara 1,168
Download Nota Download MidiZab(97:4)
Umeme wake uliuangaza ulimwengu, Nchi ikaona ikatetemeka
1. Utukufu wa Bwana na udumu milele, Bwana na ayafurahie matendo yake
2. Aitazama nchi inatetemeka, aigusa milima inatoka moshi
3. Mbingu imetangaza haki yake, watu wote wameuona utukufu wake