Ingia / Jisajili

MISA -I-GLORIA. HURUMA YA MUNGU

Mtunzi: ESSAU LUPEMBE
> Mfahamu Zaidi ESSAU LUPEMBE
> Tazama Nyimbo nyingine za ESSAU LUPEMBE

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 42 | Umetazamwa mara 151

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                     MISA YA KWANZA GLORIA- HURUMA YA MUNGU

Utukufu kwa Mungu juu, na Amani Duniani kwa watu wenye mapenzi mena,

tunakusifu tunakuheshimu, tunakuabudu tunakutukuza, tunakushukuru kwa ajili

ya utukufu wako mkuu, Ee Bwana Mugnu mfalme wa Mbinguni Mungu baba mwenyezi ,

Ee Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee, Ee Bwana Mungu mwanakondoo wa Mungu

mwana wa Baba, mwenye kuondoa Dhambi za Duni, utuhurumie, Ewe mwenye kuondoa

dahmbi za Duania pokea ombi letu, mwenye kuketi kuume kwa kwa Baba utuhurumie,

kwakuwa ndiwe uliye pekee yako, pekee yako Mtakakatifu, pekee yako Bwana,

pekee yako Mkuu Yesu Kristu, Pamoja na ERoho Mtakatifu, katika utukufu wa Mungu Baba.

AMINA AMINA.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa