Ingia / Jisajili

MAWAZO NINAYOWAWAZIA

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Miito | Mwanzo

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 348 | Umetazamwa mara 664

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                     MAWAZO NINAYOWAWAZIA

1. Mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya Amani, wala sio mabaya, ni mawazo ya Amani

    wala sio mabaya ...x2

1. Nanyi mtaniita nami nitawasikiliza Nami nitawarudisha kutoka mahali penu watu wenu waliofungwa

2. Mta-futeni Bwana madamu anapatikana, mwiteni mwi-teni mwiteni Bwana madamu yu karibu.

3. M-tu mbaya na aache njia njia yake, na mtu asiyehaki aache mawazo yake aache mawazo yake


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa