Ingia / Jisajili

Sala Yangu Ipae

Mtunzi: Valence Tizihwa Mazagwa
> Mfahamu Zaidi Valence Tizihwa Mazagwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Valence Tizihwa Mazagwa

Makundi Nyimbo: Misa

Umepakiwa na: Antony Chacha

Umepakuliwa mara 719 | Umetazamwa mara 2,162

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Sala yangu naipae mbele yako kama moshi wa ubani. x2

 Nakuinuliwa kwa mikono yako (iwe) kama sadaka ya jioni x2

Bass & Tenor

1.Ee Mungu uisikilize sala yangu na kilio changu Bwana kikufikie.

2. Ee Mungu unioneshe uovu wangu na unitakase dhambi za-ngu zote.

3. Ee Mungu ninakuomba kwa unyenyekevu na sadaka yangu Bwanaikupendeze


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa