Ingia / Jisajili

Tunaomba Amani

Mtunzi: Valence Tizihwa Mazagwa
> Mfahamu Zaidi Valence Tizihwa Mazagwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Valence Tizihwa Mazagwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Antony Chacha

Umepakuliwa mara 322 | Umetazamwa mara 1,600

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tunaomba  tunaomba Amani Tunaomba amani itawale X2

1.a) Mataifa yaache kupigana vita

    b) Waumini waache kupigana vita, Tunaomba Amani itawale

2.a) Mauaji yakome katika jamii,

   b) Uonevu ukome katika jamii - tunaomba amani itawale

3.a) Ubaguzi ukome katika jamii,
    b) Manyanyaso yakome katika jami i - tunaomba amani  itawale.
 
4. a) Na ajali ziishe katika jamii,
    b) Na majanga yakome katika jamii  - tunaomba amani itawale.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa