Ingia / Jisajili

As a group (of singers), you are as strong as the weakest singer by Deo Mhumbira

KAZI KWENU WALIMU:

"As a group (of singers), you are as strong as the weakest singer"

Walimu wengi wanashawishika kuwakazania waimbaji ambao wanafanya vizuri zaidi, wakidhani kikundi kinaimarika zaidi kwa hilo.
Kinyume chake, wale walio dhaifu wanazidi kuwa dhaifu zaidi, na hivyo kukirudisha nyuma zaidi kikundi.

Tukumbuke kwamba hata Bwana Yesu alituambia kuwa mchungaji huwaacha wale 99 zizizni ili kumtafuta kondoo mmoja aliyepotea.

Tujitahidi kuweka nguvu zaidi kwa wale wanaoonesha udhaifu kiuimbaji katika kwaya zetu ili kuimarisha kwaya zetu; kwani hata wale walio na nguvu zaidi wakiona kuwa wale dhaifu wameimprove wataongeza nguvu.